PICHA: ULIZOZIMIC KUTOKA INSTAGRAM NI SHIOLE NA FID Q

Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao kwenye biashara ya madini.

Shilole amepost Instagram picha ya nyumba yake iliyopo kwenye hatua ya mwisho kukamilika na kuandika: Mungu nisaidie nimalizie hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu.”



Naye Mwana Hip Hop Fid Q amepost picha inayoonesha madini ya ruby na kuandika: #RubySozite #NewHustle roll a phat 1 fi ya Nig..!!!”


Bongo61 Wanawatakia Mafanikio Mema katika kile walichokianzisha waweze kukiendeleza na kukifanikisha.




Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA