Picha: Tazama picha za shilole akiwa na AT nchini Uingereza walipoenda kupiga Show

Hivi karibuni Mwanadada wa miondoko ya Mduara Nchini Shillole  a.k.a Shilole Kiuno pamoja na Msanii Mwenzake wa Kiume AT wako Nchini Uingereza walikoenda kutoa Burudani na kuzikonga nyoyo za mashabiki wao wa mduara walioko huko.

Kama wewe ni shabiki wa Shilole na unamfuata Instagram, sina shaka umeshakutana na picha ya hivi karibuni akiwa katika mazingira ya ughaibuni. 
Hizi Ndizo Picha Baadhi walizopiga kipindi wakiwa Nchini Uingereza




Hii Ndio Flayers Inayoongelea Shoo Yao ya Nchini Uingerza



Previous Post Next Post

Popular Items