Picha: Hizi Ndizo Gari Anazomiliki Iyanya 'Aliyeimba Kukere'

P-Square Walionyeshamagari na Ufahari wa Kuweka Dhahabu katika Nyumba yao, na kuonyesha Magari ya Garama ..Hii imekuwa kitu cha kawaida kwa Nigeria kwa Wakali hawa ambao nyimbo zao zipo kwenye chati ya juu sasa, Hizi ni Picha za Staa aliyeimba wimbo wa Kukere 'Iyanya' Akionyesha Gari zake zilizopaki Nje ya Nyumba yake.

                                  Ameandika: Baby let’s ride out !! Get lost #triplemg

Iyanya ameandika: Sometype of way !! Good End of year, Looking good


Previous Post Next Post