Mazishi ya muigizaji wa ‘Fast and Furious’ Paul Walker aliyefariki mwishoni mwa mwezi uliopita kwa ajali mbaya ya gari, tayari umekabidhiwa kwa familia yake na ofisi ya Serikali ya Los Angeles, Marekani yenye mamlaka ya kuthibitisha kifo.
Tags:
Tragedy