Ney wa Mitego Kuanza Kutoa Misaada kwa Jamii kwa Kuanza Kutoa Misaada kwa Yatima

Mkali wa ‘Muziki gani’ Nay wa Mitego amesema anatarajia kuvitembelea vituo vya wa watoto yatima vya jijini Dar es Salaam na mikoani ili kutoa mchango wake kwa kile alichokivuna mwaka 2013.


Nay ametoa taarifa hiyo jana kupitia Instagram.

“Thanx God kwa nilichoingiza na kupata mwaka huu 2013, shukrani kwa mashabiki kwa surpot mnayonipa. Hakuna #nay bila nyie #mashabiki wangu.. mwaka huu 2013 nimepata hatua kadhaa kwny mziki wng. Nimeamua kula na kugawana na watoto yatima na wacojiweza kigogo nilichokipata..#966 kuanzia ijumaa nitaanza kuwatembelea baadhi ya vi2o km vita2 vya dar na mkoani.. thnx god kwa iki kidogo,” aliandika Nay.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA