New Video: Beyonce – Yonce

Hii ni video kati ya zile 17 alizoachia Beyonce kwenye album yake, Beyonce. Yonce ni video ya dakika 2 iliyoongozwa na Ricky Saiz. Kwenye video hii Bey anaonekana na walimbwende, Jourdan Dunn, Joan Smalls na Channel Iman.


Beyonce - Yoncé from Ricky Saiz on Vimeo.
Previous Post Next Post