Linex Afunguka Juu ya Kukamatwa kwa Jackie Clief


Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini China na wengi kumhisi ni Jack Clief,Msanii Linex ambaye amefanya video na msichana huyu video ya wimbo wake wa Kimugina hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook.



Linex Alijibu Fans Wake Kupitia Ukurasa wake wa Facebook, Kuhusu Maswali anayoulizwa Juu ya Mrembo Huyo Kukamatwa na Dawa za Kulevya Uko China.

Hiki ni kipande kinachoonyesha Ujumbe aliojibu Linex Kwa Fans wake na wale wanaomuhuliza Kuhusiana na Sakata la Jackie Clief




Previous Post Next Post