ASILIMIA 90 YA WANAIGERIA WANAAMINI KUWA KANISA LANGU NI FEKI " T.B JOSHUA " - NIGERIA

Baadhi ya Wanaigeria wameonesha kutokuwa na imani na mchungaji T.B Joshu, na wengi wao kudai kuwa wanawasiwasi kuwa mchungaji huyo ni ‘feki’, na hana nguvu za kiroho isipokuwa anatumia ‘mapepo’.

Katika mahojiano ya hivi karibuni, mchungaji huyo maarufu wa Nigeria, Temitope Balogun Joshua maarufu kama T.B Joshua, amezungumza na kuthibitisha kuwa Wanaigeria wengi hawana imani na yeye, na wanaamini kuwa ni nabii ‘feki’.

Mchungaji Joshua amedai anaweza kuwa hakubaliki na Wanaigeria, lakini kukubalika kwake duniani ndio kumemtangaza katika dunia yake, na kuongeza kuwa katika timu ya watu anaofanya nao kazi kanisani kwake ni asilimia kumi tu ndio Wanaigeria.





“I may not be accepted by people in Nigeria but my acceptance in the world has been announcing me to my world. When you look to the people working with me, you see that the ratio of Nigerians working with me are not more than 10%.” ALisema

Kwa mujibu wa Naija Gist, utafiti umeonesha kuwa asilimia 60 ya wafanyakazi wa kanisa lake ni raia wa Ufilipino.

T.B Joshua amekuwa akitabiri matukio mbalimbali yakiwemo ya watu maarufu, matukio ya maafa, matokeo ya mechi za mpira wa miguu nk, na kusababisha gumzo katika mitandao.

Haya ni baadhi ya maoni ya Wanigeria

Mirah-
I disagree with you sir, Most American think you’re a false prophet, there several Americans who have visited your church and on getting to American medical evidenced proved that your miracles are false.

Breezy
TB Joshua is nice man but as for his prophecies and miracles, they lack spiritual evidence.

Up Nigeria
I disagree with you its only spiritually minded people that will know you’re a false prophet. You your sefl know u’re not sent from God. U’re a muslim man who chose Christianity as means to gain popularity.
I challenge you to reveal the cow you used for you church foundation to the whole world. I personally know YOU ARE NOTHING BUT FALSE PLEASE STOP DECEIVING PEOPLE . God can still bless you if you humble yourself before him. Jesus loves TB Joshua.

Damien Njoku
Oga TB please don’t start with me. If I begin to tell your story to the whole world, this page can’t contain it. I urge everybody to seek God direction before joining any church Most of these Pastors are fake fake and fake. Rembember we are in the end time.

Mac
Prophet T.B Joshua, I don’t think this man is real, sometimes he behaves like a magician. I have seeing miracles when I was growing up as a young man but not the way its being done this days. May God help us.

Nelson
There is something to his being controversial, he is truly devilish and demonic. He has no message. Listen to him while preaching. The man is empty of holy spirit but heavily loaded with demonic power.

Search The Spirits

My spirit still bears me witness that this man in question is not genuine. My only prayer is that God will open the spiritual eyes of Christians under his dominion.

Grace
TB Joshua is a satanic priest, our lord Jesus Christ did not sale Miracle fo people to buy he did for salvation and heaven sake. This man is doing the opposite an he is operating from the pit of hell.

SOURCE: NAIJA GISTS 
Previous Post Next Post