VIDEO: AMDAI NA KUMSHTAKI MKEWE KWA KUMZALIA WATOTO WABAYA,ATIMAYE ASHINDA KESI NA KULIPWA $ 120,000 CASH

Mwanaume wa China ameshinda kesi ya kulipwa $120 000 baada ya kumpa taraka mke wake kwa kumzalia watoto wabaya.



Awali, mwanaume huyo aitwaye Jian Feng, alikuwa akimtuhumu mke wake kuwa anatoka nje ya ndoa kwakuwa haikuwa ikimuingia akilini kuzaa watoto wasiovutia kama walionao.
Baada ya DNA kuweka bayana kuwa kweli watoto ni wa kwake, mke wa Feng aliamua kuitoa siri nyingine ndogo. Kabla ya wanandoa hao kukutana, mke wa Feng alikuwa amefanyiwa upasuaji wa urembo (cosmetic surgery) uliogharimu $100,000 nchini Korea Kusini na ndio maana watoto waliozaliwa walikuwa tofauti na wazazi.
Tazama Video Hii Hapa Chini Ujionee Mwenyewe
Feng alimshitaki mke wake kwa kuficha ukweli huo na kumfanya amuone mrembo. Kutokana na maelezo hayo, jaji alimpa ushindi Feng na kumwamuru mke wake amlipe fidia ya dola $120,000.
Akiongea na Irish Times, Feng alisema: “Nilimuoa mke wangu kwa upendo, lakini mara baada ya kupata mtoto wa kwanza tulianza kuwa na migogoro. Binti yetu alikuwa mbaya haswaa, hadi kufikia wakati akawa ananitisha
Previous Post Next Post