Idadi Kubwa ya watu ya Afrika, Watu wa barani Ulaya na Marekani walishuhudia tukio la nadra la kupatwa kwa jua baada ya mwezi kuliziba jua wiki iliyopita.
Tukio hilo lilianza kuonekana kwanza kwenye jimbo Florida, Marekani kabla ya kuendelea kwenye bahari ya Atlantic na kupita Ulaya, Afrika na Mashariki ya Kati. Ni Waaustralia pekee ndio walioshindwa kuliona.
Watu wa kabil la Rendile kwenye hifadhi ya taifa ya Sibiloi, Turkana wakishuhudia

Picha hii ilipigwa Golan Heights, Kaskakazini mwa Israel
Tazama baadhi ya picha za tukio hilo kutoka pande mbalimbali za dunia.

Picha hii ilipigwa New York, Marekani

Hii ilipigwa kutoka Santa Cruz de Tenerife kwenye visiwa vya Canary Islands, Hispania

Kupatwa kwa jua kunaonekana juu ya kanisa huko Jerusalem

Picha nyingine nzuri kutoka Santa Cruz de Tenerife

New York
Tags:
Photos