
kwa wewe shabiki yangu wa kweli unae endele kunipa sapoti inayonifanya nizdi kukaza
kukutengenezea mambo mazuri zaidi..hii ikiwa ni ziara yangu mhimu kabisa nchini Naija,kwa ajili ya kupika kile unachkisubilia kwa hamu,my number one remix na
mwanangu Davido,hii ilikuwa ni jana usiku tukiwa studio,hii ni studio ya Davido iliyopo nyumbani kwake na kikubwa tulichokuwa tunakifanya ni kumalizia kabisa
audio kabla ya kuingia mzigoni kushoot kideo......."

Davido nyuma ya screen akifanya mambo yake kwa umakini kabisa.....!!!



