BETTY OMARA KUTOKA TANZANIA ANAHITAJI KURA YAKO KUFUKA FAINALI ZA MISSS UNIVERSE 2013 NOVEMBER 9

Fainali za shindano la Miss Universe 2013, za 62, zitafanyika November 9, Moscow, Urusi.Olivia Culpo, Miss Universe 2012 kutoka Marekani atamvitisha crown mrithi wa shindano hilo litakalowaniwa na nchini 86.

Mwaka huu Tanzania, inawakilishwa na mrembo, Betty Omara. Bonyeza hapa kumpigia kura.

Mfahamu zaidi mrembo huyu kwa picha hizi.




                                              Miss Universe Tanzania 2013, Betty Omara



















Previous Post Next Post