Diamond ni moja ya wasanii wanaofanya vizuri sana katika East Africa katika Industry ya muziki ..Pamoja na Shoo nyingi alizonazo Diamond lakini bado anamanage kufanya vizuri katika shoo zake..
Na hi ndio sababu kubwa ata ya ustaa wake na Bei yake ya Shoo kuwa Juu, kama ulikuwa aufahamu Diamond ni Kijana anayeiwakilisha Soda Ya Coca Cola Akisimama kama Balozi wa
kinywaji icho.
Katika harakati za kukuza muziki wa africa Kampuni ya Soda ya Coca Cola Ikaamua kufungua Studio amabayo itakuwa ikiendesha shughui za muziki rasmi.
Diaomond kama Balozi wa Kinywaji hicho alipata shavu la kutumbuiza Live Band akiwa na HHP kutoka kenya ..tazama video ya live performance