ROMA MKATOLIKI KUACHIA RASMI VIDEO YA WIMBO WAKE WA 2030 NOVEMBER 1


Video ya wimbo wa Roma Mkatoliki, 2030 inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki inatarajiwa kutoka Novemba 1 mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa muongozaji na mtayarishaji wa video hiyo, Nisher.

Previous Post Next Post

Popular Items

TIGO YAPOKEA TUZO YA UCHANGIAJI DAMU

YALIYOJIRI LEO MAGAZETINI IJUMAA

NGONGO INASABABISHA SARATANI YA KIZAZI