Nicki Minaj, Drake, na Lil Wayne wamepata labelmate mpya. The Game amejiunga rasmi na familia ya YMCMB.

Tangazo hilo lilitolewa na Birdman kwenye Twitter: “S/O 2MY@thegame Westcoast makit Official.RICHGANG.YMCMBusine$.”
The Game alijibu: @BIRDMAN5STAR time to close the door on these niggas !!!! R$CHGANG.”

Awali rapper huyo wa Compton na mwenye miaka 33, alikuwa amesaini na Interscope Records, ambako aliachia albam tatu ikiwemo ya kwanza, The Documentary, ya mwaka 2005 aliyoitoa kwa ushirikiano G-Unit Records.