RAIS OBAMA AENDA ZAKE MTAANI


6824473_orig_f2f9f.jpg
Rais wa Marekani, Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C., baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua 'sandwich' tarehe 4 Oktoba 2013. (picha: Pete Souza/ Ikulu "White House"). Wawakilishi wa Wananchi huko Bungeni 'wamemwekea usiku' na 'kumzingua' Rais Obama kwenye mipango yake inayotegemea bajeti ambayo waligoma kuipitisha, naye akatilia ngumu kubadili au kuondoa miradi yake
Previous Post Next Post