Studio ya muziki inayomilikuwa na Profesa Jay imekamilika na kwa mujibu wa picha alizoweka Facebook, inaonekana jina lake ni ‘Mwanalizombe Studio’.

“Picture me rolling….At MWANALIZOMBE STUDIOS,” ameandika rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule.
Inasemakana kuwa producer kwenye studio hizi atakuwa Duke Touchez.

Unalionaje jina la studio hizo?