Picha: Mgahawa wenye madhari ya choo na bafu wafunguliwa Los Angeles

The Magic Restroom Café ndio mgahawa wa kwanza Marekani kuwa na madhari ya choo na bafu (rest room) ambapo watu watakuwa wakikalia vyoo (vya kukaa) na kulia vyombo vyenye muundo huo pia.



Unaweza kushtuka kwa kuona madhari ya mgahawa huo, lakini kikubwa zaidi ni kuwa baadhi ya vyombo vya kulia pia vinafanana na vifaa vinavyopatikana katika choo na bafu.



Cha kushtusha zaidi ni kuwa menu ya mgahawa huo ina vyakula ambavyo vinaandaliwa kwa muonekano wa ‘haja kubwa’, na vinanukia vina harufu kama inayo inayopatikana ‘toilet’. “diarrhea-looking’ Golden Poop (brown curry), Constipation (noodles with soybean paste) and Smells Like Poop (braised pork over rice)”, wameandika Mail Online.



katika baadhi ya meza yamefungwa yale mabomba ya bafuni. Mgahawa kama huo pia uliwahi kufunguliwa China.



Previous Post Next Post

Popular Items