
Baadhi ya wananchi wakiangalia vitenge vianavyotengenezwa kutoka China katika maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.(P.T)

Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akitoa maelezo ya bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho.

Mwakilishi wa kampuni ya Linghang (Shanghai) Lilian Rajabu akionesha bidhaa ya mchele unaolimwa nchini China kwa baadhi ya wageni waliotembelea banda lao la maonesho.

Pix 4. Mfanyakazi wa kampuni ya Orientar Holdings (African Showcase) Rosemary Michael akitoa maelezo kuhusu utengenezaji na uagizaji wa vitenge kutoka nchini China.
Image Credit : Magreth Kinabo-Maelezo
Tags:
Photos