Picha: Maandalizi ya Kill Music Tour The Latest In Dar es Salaam @LIDAS CLUB



Kile kilele cha kuhitimisha ile Kill Music Tour Iliyokuwa ikiendelea katika Mikoa kadhaa ya Tanzania sasa imefika Katika Jiji la Dar es salaam Ambapo Vijana/Wasanii wa Kill Music watakinukisha mbaya kwa mashabiki wake, Ambapo wasanii kibao watapanda Jukwaani leo hii kutimua vumbi hilo.Wasanii kama Diamond,Roma,Ney wa Mitego,Kalajeremaya na wengine kibao

Mida ya saaa 10jjion Milango itafunguliwa Rasmi kwa Raia wote waweze kuingia na bila kusahau Bia 1 ya Buree Pale Mlangoni.



                    Jukwaa litakalotumika katika Kilimanjaro Music Tour 2013 katika viwanja vya Leaders Club.



Mojawapo ya mabanda yatakayotumika kuuzia vinywaji wakati wa tamsha. 



Nyamachoma tayari inaandaliwa kwa ajili ya wakazi wa Dar watakaojitokeza uwanja wa Leaders Club 




Muonekano wa jukwaa kwa pembeni



Timu ya Amsha Amsha inayozunguka mtaani kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kujitokeza uwanjani



DJ Mafuvu wa East Africa Radio na TV ambaye ndiye ataendesha shughuli nzima akiandaa vifaa vyake vya muziki.
Previous Post Next Post