Picha: Kampuni Samsung Watoa Saa za Smartwatch



Baada ya Miaka Mingi sasa Samsung Imeamua kuja na Saa ambazo ni Smartwatch, Makampuni Mengi yalikaa kujadili swala hili la kuja na Saa amabazo ni smart lakini Samsung wakatoa saaa zao ambazo ni SmartWatch



Saa hizi ambazo ni Smartwatch zinauwezo wa Kurekodi Sauti,vilevile utaweza kurekodi video kwa muda mfupi kwa sababu saa hizi zina camera yenye pixel 1.9 Megapixel kwa ajili ya picha na video
Saa hizi zinategemewa kutoka tarehe 25 September katika rangi sita tofauti.

Tazama Aina ya Rangi amabazo zitatoka







Previous Post Next Post