Jacqueline Wolper aka Wolper Gambe ameshusha mzigo mpya wa kupiga nao misele na kufanyia matanuzi mitaa ya Dar es Salaam.

Prado ya Jacky Wolper
Muigizaji huyo ameshare picha kwenye Instagram ya Prado yake mpya na kuandika: My new bebe am in lv wth u darlng. Ila twende kwanza nikakuvalishe kiatu na vitu ving uzid kushne like ur mom gambe.”

Kwenye picha hii Wolper ameandika: Fnsh i thnk kiatu nakofia imependeza bebe