Picha: French Magazine: Flaviana Matata atokea katika cover ya jarida la Ufaransa



Ni jambo la kushangazakwa Flaviana Matata mwenyewe ambaye ni model wa Tanzania anayefanyia shughuli zake za fashion nchini Marekani kwa sasa, baada ya kuona ametokea kwenye cover ya jarida la Ufaransa �French Magazine� kitu ambacho hakukitarajia.

Flavy amepost picha ya jarida hilo Instagram lililotoka jana Paris, Ufaransa na kuandika “I made it on the cover of FRENCH Magazine, It came out in Paris this morning.This was an editorial shoot and I had no clue they were shooting a cover too,what a great surprise!Thanks to the entire #FrenchMagazine Team”

Previous Post Next Post