Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwigizaji wa bongo movies Zuhura Maftah ama Malisa (Pichani) amefariki dunia leo hii.
Bado hatujaweza kupata taarifa kamili za chanzo cha kifo chake ila tnafanya juhudi kuweza kuzipata na tutawaletea hivi punde zitakapokuwa tayari.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Tags:
From Bongo Movies