
Wakati mwingine, hii inasababishwa kwa kuwa na mkusanyiko wa uchafu ambao hufanya ngozi shingoni kuwa nyeusi nakukosa mvuto.

Sababu nyingine ni kwamba shingo ina mikunjo kadhaa ambayo ngozi huwa inahifanyi vumbi na chembe jasho shingoni ambapo baada ya muda husababisha ngozi ya shingoni kuwa na weusi. Kutokana na sababu hizi inakupasa kuwa makini unaposafisha mwili wako hasa sehemu hii ya shingoni.
Ili kuweza kuongoa weusi huu kila siku hakikisha unasafisha ngozi yako ya shingo na kuondoa ngozi iliyokufa kwenye shingo angalau wiki mbili kabla ya kuona matokeo.

Lakini kama hutaki kuwekeza katika moja, unaweza pia kutengeza scrub yako mwenyewe. Unaweza kufanya mchanganyiko wa wa mafuta ya Olive na Sukari kwa kutumia hii scrub shingo yako hii paka kwenye shingo yako pole pole kwa mviringo mpaka sukari iyeyuke yote. Scrub hii itasaidia na hata kuleta tone kwenye ngozi yako.



Kupaka maji ya limau shingo pia itasaidia kuondoa weusi kwenye shingo kwa kiasi fulani. Lakini kumbuka kufanya hivyo usiku tu, hivyo kwamba huwezi kwenda nje katika jua na mabaki ya maji ya limau kwenye shingo yako. Kama utatoka ukiwa umepaka maji ya limau kwenye shingo wakati wa jua itasababisha ngozi yako kuwa nyeusi.
Tags:
Beauty