Picha: Swala ya Idd Ilivyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam


Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akiswalisha Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.






Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakishiriki kwenye Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akitoa hotuba wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.






Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa jana katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Mwenyekiti wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akiwa akiwa ni miongoni mwa waumini wa kiislam walioswali swala ya Idd el Fitr,kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana.






Previous Post Next Post

Popular Items