Hizi ni picha za red carpet za uzinduzi wa video mpya ya Diamond, Number 1 uliofanyika jana Alhamis, Aug 29, kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

AY na Salama J

Bi Sandra Mama yake Diamond

Chege nae alikuwepo

Diamond akiwa katika Red carpet

Dj Mafuvu

Dulla wa Planet Bongo

Dully Sykes naye alikuwepo kumpa sapoti mdogo wake

Godfrey Rugambwa mdau mkubwa wa Bongo5 naye alikuwepo

Hamisa akiwa katika pozi

Hii kifamilia zaidi hapa





Mwana FA


Luca Neghesti na Nancy Sumari

Madam Rita naye alikuwepo

Madansa wa Diamond

Asha Baraka naye alikuwepo

Mzee Muhidin Gurumo akiwa na Diamond pamoja na Nay wa Mitego

Mzee Gurumo akiwa na Diamond

Nay wa Mitego

Ombeni,B12 na Nelly

Queen Darleen alikuwepo kumpa sapoti mdogo wake

Raqey akiwa na mkewe, Sarah

Romeo Jones,. binamu yake na Diamond

Salma Mzirai

Shaa katika pozi

Shadei akiwa na Dully Sykes

Shadey na Salma

Shilole katika pozi

Shilole,Diamond na Dude

Asma Dada yake Diamond na Mama Diamond Bi Sandra












Images via: Bogo5.com