Picha: Jana Ilikuwa ni birthday ya Odama (Jennifer Kyaka),..... afanyiwa suprize party wakati akishoot Filamu


Huku akiwa katikati ya kutengeneza Filamu yake  ya jicho langu, Jana mwanadada Jennifer Kyaka, maarufu kama Odama, alisheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Mwanadada huyu alifanyiwa suprize ya kufanyiwa sherehe ya aina yake maeneo ya magomeni jijini Dar wakati akitengeneza Filamu yake hiyo mpya inayotengenezwa na kampuni yake ya J-FILM 4 LIFE.
Hongera sana dada Odama. Mungu akujalie miaka Mingi na mafanikio katika kazi zako.













Previous Post Next Post

Popular Items