Maisha Baada ya BBA: Nando aanzisha nguo zake, ‘Brotherhood’, kuingia sokoni wiki ijayo



Ammy Nando ameanza kuzitumia fursa nyingi zinazomsubiri baada ya Big Brother Africa, The Chase.


Mwakilishi huyo wa Tanzania kwenye shindano hilo mwaka huu ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani, ameanzisha clothing line yake iitwayo, Brotherhood.

Ameshare kwenye Twitter picha ya nguo zilizo tayari na kuandika:


Clothing Iine DONE..an Empire on the making..y’all ready?#brotherhood #A
Previous Post Next Post