Kutoka Holyywood : Warner Bros Picture Kutoa Movie Mpya ya Batman Ifikapo Julai mwaka 2015




batDark Knight Rises imefanya vizuri sana mwaka huu kwenye theaters tofauti duniani. Movie nyingine ya Batman inategemewa kutoka July 17 2015. Kitu kizuri kwenye hiyo movie ni kwamba star wa movie hiyo atakuwa Ben Affleck.
Watu wengi wamemjua Ben Afflceck baada ya kuwa  na mahusiano na mwanamuziki Jennifer Lopez, Warner Bros Pictures wamemtangaza Ben kuwa ndiyo staa wa movie mpya ya Batman ambayo itatoka rasmi 2015 mwezi wa saba,
Previous Post Next Post