Coming Sooon Cool Poll Point Result Hapa hapa Bongo61



Hii ni Category mpya ya kusikiliza mawazo ya watembeleaji wetu kupitia category hii ya Poll Point tutaweza kukuletea maswali mbalimbali ambayo wewe mtembeleaji wetu wa bongo61 utaweza kupiga kura kutokana na swal tutakalo huliza kwa wiki husikai, au kura yako itakwenda kwa kitu gani amabacho wewe utaona kinastahili kura yako.





Mfano mzuri ni Poll Point amabayo iko katika mzunguzo wa kwanza toka category hii imeanza hapa bongo61

Swali Ambayo Tuliuliza ni " NANI MALKIA WA BONGO MOVIE KATI YA HAWA"


  1. Wema Sepetu
  2. Irene Uwoya
  3. Jacline Wolper
  4. Elizabeth Michael [ Lulu]
  5. Kajala Masanja



Katika kuzingatia kuwa karibu na watemebeleaji wetu wa bongo61 kupitia category hii tunaomba ushirikiano wenu katika vupiga kura kwa kile unachozani kinastahili kura yako.


Previous Post Next Post