Cheki Video: Feza Kessy akirekodi muziki Afrika Kusini na kukutana na Oneal studio




Kabla ya kurudi Tanzania, Feza Kessy alipitia kwenye miongoni mwa studio za Afrika Kusini na kurekodi wimbo.


Katika video ya BBA ya maisha yake baada ya The Chase, Feza anasema shindano hilo limempa fursa ya kufanya muziki ambao amekuwa akiupenda tangu siku nyingi. Akiwa anarekodi, mchumba wake Oneal aliingia na kumfanyia surprise ya nguvu.

Bonyeza hapa kuona video hiyo.
Previous Post Next Post

Popular Items