TID atangaza ZAWADI kwa atakayemtajia mwizi wa power window na vifaa vingine vya gari lake



TID ametangaza ulaji kwa mtu atakayemtajia mwizi wa power window na vitu vingine vya gari lake ambavyo vimeibiwa usiku wa kuamkia Jumapili likiwa nyumbani kwake.
1002474_10151758174078749_1718702272_n
TID amesema atatoa zawadi ya shilingi laki mbili kwa mtu atakaye mtajia mwizi wake.
547067_10151758174003749_1546178000_n
1016296_10151758173833749_1013161815_n
“Mtu huyu aliyeniibia mimi T.I.D power window na vitu vingine kwenye gari yangu usiku wa kuamkia leo nyumbani kwangu, ntakuwa namjua tu, natoa laki mbili kwa mtu atakeyentajia huyu mwizi,” aliandika kwenye Facebook.
999067_10151758174173749_1672951619_n


Previous Post Next Post