TID aisifia sauti ya Vanessa Mdee ‘She has that tone’ mashabiki wahisi amemdiss Lady Jaydee



Top In Dar, Too Much Information anaipenda sauti ya Vanessa Mdee. Ameonesha mapenzi hayo jana kwa kuandika Facebook: I want to know is there any female artist in bongo flava industry can reach Vanessa Mdee’s pitch….mention y.”
veee
Hata hivyo baadhi ya mashabiki wamehisi ameandika ujumbe huo kwa nia ya kumdiss Lady Jaydee. Hivi ndivyo alivyoandika tena:
“Am talkin bout Vanessa and not me, I know I can’t come back coz am I have never gone anywhere still here.Am talkin about voice capability and not who is older than each other ofcourse jide can be her mother if we are talkin about age.
Okay let’s see who is real asije akapewa mtu key aimbe ‘akajamba hapo ndo ushabiki utaisha.
When I ask najua kwanza…she has that Tone.. Hapa kuna ushabiki mbaya sana naona ukikataa kufanya show unawekewa sumu watu wote wanakuchukia hata kama hujawakosea na matusi juu, haya lakini mzee nimebaki tuu mtoto sauti yake ya DhaHaBu”
U knw when a woman akimtukana mwanaume kwa sababu za kikazi na wanaume wengine wakiwa wanasupport its not fine……all am sayin is lets see wats next FA kaitwa mwanamke mnafurahia, stop wait a minute, naingia kazini.
Vanessa nimemuelewa and nobody can do a thing about it anayo kick..
Kwanini everyone who is trying to do something nice is against lady wenu why tena na matusi duhh haya yangu macho mzee.. Pliz lets be real am tryin to hate jide I didnt mention her name but these people are havin alot of hate sijui kwa hicho kishow….anyways I appreciate new talenta and vanessa is better than.”
Hata hivyo si kila shabiki alimwelewa vibaya TID, kama alivyochangia huyu aitwaye Glory Polycarp;
You know what TID?? i support you with my both hands… first time i heard this lady Veemoney, i didn’t know she is a Tanzanian.. Her music is far away compared to all other musicians in bongo,her way of singing is internationally, haijalishi ni mkongwe kiasi gani in this game.. ila kwa wanaoelewa music nadhani watakuunga mkono pia, i love anaconda she was my best female artist in bongo ni mkongwe kwenye game ana nyimbo nyingi na expirience yake ni kubwa kwenye game, but to be honest you can not compare her n Vee, Vee yuko juu ingawa mwanzo ni mgumu kukubalika na kwa navojua wabongo wengi style anayoimbia itamchukua mda kutoka kama ilivokuwa kwa Grace Matata ila trust me, mtu anayejua music akiwasikiliza wote kwa pamoja first time lazima atakwambia Vee anatisha.. nimeskia mtu kacomment Snura majanga, duh! kiukweli hatuko serious.. Tid Topband cha mwisho kabisa Watanzania tupunguze chuki m sijaona chochote ubaya alichoandikiwa mtu sema wengi mmetranslate mnavoona nyie dats not fair, kuanza kucomment matusi kwa mtu,,he was jus talking bout pitch… ila dah wengine mpaka mnamtusi
Previous Post Next Post