SPURS YATANGAZA RASMI KUMSAJILI POULINHO


spurs 7c9c4
Kiungo Paulinho (HM)
spurs2 0e200
KLABU ya Tottenham  imekamilisha usajili wa kiungo Paulinho kutoka Corinthians kwa ada ya Pauni Milioni 17.1.
Spurs imetangaza jana asubuhi kwamba, kiungo hiyo Mbrazil mwenye umri wa miaka 24 amekamilisha upimaji wa afya katika klabu hiyo.
Paulinho amesema: "Nina furaha sana ninayevutiwa na kuhamia Spurs. Ni kitu kizuri katika maisha yangu ya soka kuwa katika klabu kunwa kama Tottenham,".

Poulinho alikuwemo kwenye kikosi cha Brazil kilichotwaa Kombe la Mabara Jumapili iliyopita kwa kuifunga 3-0 Hispania katika Fainali Uwanja wa Maracana. 

Chanzo: binzubeiry
Previous Post Next Post