Picha: Mto "Pillow" kwa Ajili ya wanaume wapweke! Mto uliodizainiwa katika umbo la mwanamke



mto-1

Je wewe ni mwanaume ambaye huwa unakabiliana na upweke kila unapopanda katika kitanda chako usiku kupumzika? Kama ndio mjapan amewafikiria wanaume wanaopata shida hiyo (kama nayo ni shida) na kubuni mito ‘pillows’ yenye maumbo ya msichana kwaajili ya kuwapa kampani wanaume wapweke walalapo usiku.

mto-2

Wasichana wengi hupenda kuwa na midoli mingi kitandani kwa lengo kama hilo (usiniulize nimejuaje), ila ni nadra kukuta mwanaume ana midoli kwa lengo sawa la wasichana ‘companion’ wakati wa kulala usiku. Sasa kwa kuzingatia hilo kampuni ya Japan imetengeneza ‘body pillow’ yenye umbo kama la msichana wakiwalenga wateja wa kiume ambao wanahisi upweke kila wanapopumzika.


mto-3
mto-4
Previous Post Next Post