Picha: Lulu na Bond wakikabidhiwa tuzo na vyeti vya ushindi tuzo za Ziff 2013


PICHA: Lulu na Bond wakikabidhiwa tuzo na vyeti vya ushindi tuzo za Ziff 2013
Picha mbalimbali za kukabidiwa kwa tuzo, nyeti na fedha za waigizaji Elizabeth Michael (LULU) na bond bin Salim zilizofanyika juzi kwenye kampuni ya Zuku. Lulu alikabidhiwa zawadi hizo baada ya kushinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike katika bongo movies na Bond tuzo ya mwigizaji Bora wa kiume na mwongozaji bora wa bongomovies.






Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA