Like a Daughter like a Father! Picha jay Z akiwa kambeba Mwanawe Pindi walivyokuwa wanatoka Lunch mjini Toronto hivi Karibuni,Hii imewavutia mashabiki wao wengi baada ya kumuona Jay Z akiwa kambeba mwawe uku mama mtu Beyonce akitangulia ,kwenye gari yao.
![FAMILY AFFAIR photo | Beyonce Knowles, Jay-Z](http://img2.timeinc.net/people/i/2013/startracks/130729/beyonce-435.jpg)
Hta ivyo mastaa hawa wamewafuraisha watu wengi mafans wao kwa kile walichokisema ni wakati wa jay na beyonce kuenjoy na Blue Ivy na Kumpa Love na Care.