NEW MUSIC : SHOSTEEZ – NIFIKIRIE …






Baada ya kufanya vizuri kwa ngoma yao ya On The Floor, sasa kundi la Shosteez limeamua kuachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “NIFIKIRIE”.
Mdundo wa ngoma hii umefanywa ndani ya Studio ya Fish Crab chini ya Producer Lamar ambae ndio meneja wa kundi hilo.
Pata Muda wako wa kuweza kuisikiliza na download  Nifikirie hapa chini ….

Previous Post Next Post