Jux ambaye yuko masoni barani asia anatarajiwa kuiachia video hii mapema mara baada ya watayarishaji wa video iyo kumaliza mambo yao, Jux amesema kwamba video hii itakuwa ni tofauti na video zingine ambazo watu wengi walishawai kuziona mwanzoni 'Nategemea kufanya kitu kizuri zaidi ya video zangu za awalia" Jux aliongea .....
Pata muda wako wa kuweza kuzitazama picha hizi za Behind the Scene ya Iyo video - Uzuri Wako
Huyu ndiye Video Queen