MIILI YA WANAJESHI WA ZANZIBAR WALIOFARIK​I DARFUR YAWASILI ZANZIBAR



02 bcd22
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza la Sajent Shaibu Shehe Othman aliyeuawa Darfur katika harakati za kulinda amani chini ya Kikosi cha Umoja wa Mataifa (Unamid) baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo zanzibar
Previous Post Next Post