Kama Uamini Hii Imetokea...Msichana aliyekuwa mvulana na Mvulana aliyekuwa msichana sasa ni wapenzi baada ya kubadili jinsia ‘transgender’!



Ni ngumu kuamini kwamba wapenzi hawa walibadili jinsia zao ‘transgender’ mvulana akawa msichana na msichana akawa mvulana na sasa ni wapenzi wakiwa na jinsia zao mpya!
Arin after-3

Kushoto Arin (zamani msichana) na kulia Katie (zamani mvulana)
Miaka miwili iliyopita vijana hawa Arin Andrews (17) na Katie Hill (19) kutoka Oklahoma, Marekani walifanyiwa surgery ya kubadili jinsia zao na sasa wanaishi kwa furaha wakiwa na jinsia walizokuwa wakiziota.

arin after-1

Kabla ya kubadili jinsia zao Arin alikuwa msichana kwa jina la Emerald, na Katie alikuwa mvulana aitwaye Luke.
arin kabla
Kushoto ni Emerald Andrews kabla hajawa mvulana wa sasa (Arin) na kulia ni Luke Hill kabla hajawa msichana wa sasa (Katie)
Katie ambaye ni mwanafunzi wa chuo alifanyiwa upasuaji na bubadili jinsia kwa msaada wa mchango wa $35,000 kutoka kwa mfadhili ambaye alisoma habari yake kwenye chombo cha habari.
Arin after-4
Arin ambaye bado yupo shule pia alifanyiwa upasuaji wa kuondoa matiti yake na sasa anafurahia kuonesha kifua chake cha kiume baada ya kuanza kwenda gym, kitu alichokuwa hawezi kufanya hapo kabla kutokana na kuwa na mwili wa kike,
‘Now I can wear a tank top, which I couldn’t before, I can go swimming shirtless, I can walk outside, I can just be a regular guy now. I hated my breasts, I always felt like they didn’t belong – now I can finally be comfortable in my own body. ‘Now when I’m out in a public pool, or lifting weights, no-one raises an eyebrow, they just think I’m a guy – just a skinny dude in the gym trying to build some muscle”. Alisema Arin
Arin aliongeza kuwa ameshangazwa na jinsi familia yake ilivyompa sapoti katika hatua zote za upasuaji na uamuzi wake wa kubadili jinsia.
SOURCE: DAILY MAIL
Previous Post Next Post