Hivi Unafahamu Robert Downey Jr. ndiye muigizaji anayelipwa fedha nyingi zaidi Hollywood – 2013


Orodha ya mwaka 2013 ya Forbes ya waigizaji wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi imetoka na nafasi ya kwanza imeshikwa na ‘Mwanaume wa Chuma’ Robert Downey Jr.
Robert Downey Jr
Kwa kipindi cha June 2012 na June 2013 muigizaji huyo ameingiza dola milioni 75.na hii kufanya awe anapokea kiasi kikubwa cha fedha na kuwaacha Wengine kama.........
2. Channing Tatum -$60 million


3. Hugh Jackman – $55 million

4.Mark Wahlberg – $52 million

5.Dwayne Johnson aka The Rock – $46 million
Watano wa mwisho ni pamoja na: 6.Leonardo DiCaprio, $39 million, 7. Adam Sandler, $37 million,8. Tom Cruise, $35 million, 9. Denzel Washington ($33 million) na 10. Liam Neeson ($32 million).
Previous Post Next Post

Popular Items