Hii ndio Studio Mpya Ya Quick Rocka,Switcher Records, Picha Hizi Kutoka Instagram Yake .


Quick Rocka aka The Switcher ,Rapper aliyeanza Na The Rockas na baadae kuja kufanya kazi kama solo artist chini ya lebel ya Mj Records alipotoa single ya Bullet ft Q Jay ambayo ndio ilimpa umaarufu zaidi Tanzania amefungua studio yake. Jina la studio hio ni Switcher Records.

Tudd Thomas 
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia