Usiku wa jana kampuni ya vinywaji baridi ya Coca cola walikuwa wakizindua kinwaji kipya kabisa non-alcohol kinachoitwa NOVIDA .na mimi kama barozi wa cocacola nchini nilipewa fulsa ya kwenda kushuhudia uzinduzi huo |
nikiwa njiani kuelekea Akemi Golden Jubelee Plaza kulikokokuwa kukifanyika uzinduzi wa kinywaji cha NOVIDA |
Sikuwa peke yangu,niliongozana with ma boy,Romy Jones |
Naheshimu sana fans wangu,hawa ni moja ya fans wangu waliotaka picha ya ukumbusho baada ya kuniona nikiingia |
Nikipata picha pamoja na fans wangu |
Upande wa kaunta |
Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari wakisubili time ya kuzinduliwa rasmi kinwaji cha NOVIDA |
Mrembo akifungua kitambaa kama ishara ya kuzinduliwa na kutambulishwa kwa kinywaji kipya cha NOVIDA |
huu ndio mwonekano wa kinywaji cha NOVIDA |
Nikiteta jambo na ndugu yangu Rommy J |
Ukumbi ulitawaliwa Green ambayo ndio color ya kinwaji cha NOVIDA |
Ally Rwemtullah with friend |
Ally Rwemtullah,Diamond,Rafiki wa Ally na Romy Jones |
Nikitaniana with my Brother,Mater jay |
...........Kalabani....... |
Zoezi lilifanyika salama ..with my boy kwenye lift All pics from -This Is Diamond.com |