Staa wa Kike wa Muziki Marekani Keri Hilson akanusha uvumi ulioenea kuwa ni mja mzito ....



Msanii anaye hit na kibao chake cha   ‘Knock you down’ Keri Hilson amekanusha vikali  uvumi ulioenea kwamba ana ujauzito na anategemea kua mama ivi karibuni
Miss Keri ambaye ni kati ya waimbaji wa kike warembo na mwenye sauti tamu amekanusha habari hizo juzi jumapili (June 9) na kuelezea mambo kadhaa ya binafsi ambayo kwake huwa ni nadra sana kufanya ndio sababu iliyomplekea kukaa kimya kwa muda!
Miss Keri alitweet, “I get how you could THINK you found clues to that conclusion you conjured…but I’m NOT pregnant. Those “clues” are unrelated & exaggerated”.
Sababu zilizopelekea watu kuanza kuhisi huenda ana ujauzito ni kutokana na maamuzi aliyochukua kuwa likizo kidogo ya kuwa kwenye spotlight ili afanye mambo binafsi akiwa na mpenzi wake.
keri tweet-1
keri tweet-2
Miss Keri amekuwa aki spend muda mwingi na boy friend wake wa sasa Serge Ibaka kitu ambacho kilipelekea mpaka watu kuanza kupata hisia kuwa huenda akawa tayari amebebea mimba ya mtoto wa kwanza.
Hapa Akiwa kapozi
Previous Post Next Post