SHOW YA KUTIMIZA MIAKA 13 YA LADY JAY DEE [PICHA]





Hivi ndivyo ilivokuwa jana  ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo jana kulikuwa na bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hiyo ya jana wanamuziki mbali mbali walipanda jukwaani alikuwepo Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu.


Wadau mbali mbali wa muziki hapa nchini walikuwepo ndani ya ukumbi huo jana kusuhudia show hiyo ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa muziki.







Foleni ilikuwa  ni ndefu na watu bado walikuwa wanazidi kuingia ukumbini hapa.

Burudani ya Utangulizi ikiendelea.
Previous Post Next Post

Popular Items