Rapper kutoka Mbeya Izzo Bizness anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, Love Me aliowashirikisha Shaa na Barnaba. Kupitia Instagram, rapper huyo ameshare picha za wakati wa uchukuaji picha za video hiyo.

Hapa Izzo B akiwa kwenye scene ya chumbani

Hapa Shaa akiwa location ya nje wakati wa uchukuaji wa video hiyo

Huyu Msichana atakayeonekana kwenye video hiyo

Huyu ni Barnaba ataonekana hivi