Waigizaji na wadau mbalimbali leo wamekusanyika kwenye mazishi ya muigizaji wa filamu nchini, Kashi aliyefariki wiki hii. Mazishi hayo yamefanyika kwene makaburi ya Kinondoni Muslim.

Ustaadh akiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim

![]() |




Jacqueline Wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi

Kitale na wasanii wenzake

Msanii wa bongo movie Big

Msanii wa movie akilia kwa uchungu

Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi

Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.

Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na manager wake.

Mwigizaji wa TamdhiLia ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.

Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim

Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia

Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi

Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba

Shughuli ya mazishi inaendelea

Wamama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.

Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo

Wadau mbalimbali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim

Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo
