Vikosi vya Timu zote vikiwa vimejipanga wakati wa Wimbo wa Taifa.
Benchi la Timu ya Ivory Cost likiongozwa na Kocha wao.
Benchi letu.
Wadau wa NSSF wakiwakilisha ipasavyo Uwanjani hapa.
Jukwaa kuu likiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick,Waziri wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha na Viongozi wengine mbali mbali.
Salamu za Wachezaji.
Kikosi cha Taifa Stars.
Kikosi cha Ivory Cost.
Leo ilikuwa ni burudani tupu kwani hata mashabiki wa timu za Simba na Yanga wakiungana na kuunganisha bendera zao,huku wakisema uzalendo kwanza.
Ulinzi ni wa Uhakika maana wazee wa Feva walikuwepo kila kona.
Krosi maridadi ikitolewa na Shomary Kapombe iliyotupatia Bao la pili lililotiwa kimiani na Mshambuliaji Thomas Ulimwengu.
Shangwe zilitawala Uwanja mzima ambao leo ulijaa kuliko siku zote,maana hakukuonekana hata nafasi iliyokuwa wazi.
Mshambuliaji wa Timu ya Ivory Cost,Yao Gerveis akiwania mpira na Beki wa Taifa Stars,Erasto Nyoni.
Hapa ni kibega tu (hawajua kama sie hiyo ni staili yetu).
Ubao uonekanavyo baada ya mchezo.
Watanzania Wenzetu wakiingia Uwanjani kuisapoti Timu yao.
Kocha wa Taifa Stars,akisabahiana na Marefa.